TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA FALME ZA KIARABU (UAE)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25,2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi.

Alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohmed na watumishi wa ubalozi huo.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com