TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.