TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM WA RAIS WA CONGO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo- Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Jean-Claude Gakosso, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025.



Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com