Matukio katika Picha wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Julai 04 2025 jijini Dar es Salaam.