Chini ya Rais Samia, idadi ya mawakala wa utalii imeongezeka kutoka 2,885 mwaka 2021 hadi 3,735 mwaka 2025.
Hata hivyo matarajio yakionyesha Sekta hii kuendelea kutoa ajira zaidi ifikapo mwaka 2030.
Ongezeko hili linaashiria fursa kubwa za ajira na ukuaji wa biashara zinazohusiana na utalii.