Chini ya Rais Samia, idadiya ndege za ATCLimeongezeka kutoka 8 mwaka 2020 hadi 16 mwaka 2025, huku Serikali ikitarajia kuongeza Ndege zaidi ifikapo mwaka 2030.
Ongezeko hili linaonyesha uwekezaji katika usafiri wa anga na kuboresha huduma kwa abiria na mizigo.