TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AIMARISHA UWAKILISHI WA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA MAHAKAMA

 


Katika kipindi cha Miaka Minne, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia ameteua Majaji wapya 83 ambapo Majaji wa Mahakama ya Rufani ni 15 kati yao wanne (4) ni wanawake na Majaji wa Mahakama Kuu 68, kati yao 30 ni wanawake. 


Aidha, amewezesha ajira mpya ya Mahakimu na watumishi wengine jumla 1,153. 

Majaji na Mahakimu wanawake wamekuwa wengi wakati huu kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu.

Hii inaonesha ni kwa namna gani Rais Samia anazingatia usawa wa kijinsia katika sekta mbalimbali. 

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com