Chini ya Rais Samia, bei ya maharage imeongezeka kutoka shilingi 501 mwaka 2020 hadi shilingi 2,430 mwaka 2025.
Kiasi kilichouzwa nje mwaka 2020 ni tani 123,000 sawa na USD milioni 80 (TSh bilioni 187), wakati mwaka 2025 ziliuzwa tani 180,000 kwa USD milioni 220 sawa na TSh bilioni 570.
Hii ni ishara ya Rais Samia kuwajali na kuwapenda zaidi wakulima kwa kuwatafutia masoko mazuri na ya uhakika kupitia TMX.
