TANGAZO

TANGAZO

MATUKIO KATIKA PICHA: MHE. MAHUNDI AHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA UJENZI WA MELI NNE KIGOMA








Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, leo Julai 20, 2016 amehudhuria hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Meli Nne (4) za mizigo katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma.