TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo tarehe 18 Januari 2025, Dodoma, kuelekea Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Leo tarehe 18 na 19 Januari, jijini Dodoma.

    

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com