TANGAZO

TANGAZO

WASIRA ATEULIWA KUMRITHI KINANA


Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, ameteuliwa kugombea nafasi ya kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa katika Mkutano Mkuu wa CCM Taifa. Uteuzi huu unakuja baada ya Abdulrahman Kinana kujiuzulu nafasi hiyo.

Wasira, ambaye ni miongoni mwa viongozi wazoefu na wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama, anapigiwa kura  na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa unaoendelea Jijini Dodoma.

 Uteuzi wake unalenga kuimarisha uongozi na kuendeleza mipango ya chama.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com