Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke kuchaguliwa katika Taifa hilo la Namibia.








