TANGAZO

TANGAZO

PICHA: UZINDUZI WA TAARIFA YA UTENDAJI WA MAMLAKA ZA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24

 Haya ni Matukio Katika picha kwenye Uzinduzi wa Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za Maji kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 iliyozinduliwa leo, Machi 19,2025 Katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar Es salaam, Huku Mgeni rasmi akiwa Waziri wa Nishati na Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.


















Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com