TANGAZO

TANGAZO

DKT. BITEKO AKIWASILI KWENYE MAADHIMISHO MIAKA 61 YA MUUNGANO - MKOANI ARUSHA

 


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwasili katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha kushiriki maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo 26 Aprili, 2025.


Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu, Shiriki Uchaguzi.”



Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com