TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA RAIS WA KWANZA NA MUASISI WA TAIFA LA ANGOLA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Angola na muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda nchini humo tarehe 08 Aprili, 2025. 

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola Hayati António Agostinho Neto, Public Square Jijini Luanda










Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com