TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA ANGOLA

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Luanda.












Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com