TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA 73 WA ACI AFRICA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 28, 2025 amewasili Mkoani Arusha ambapo atafungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la viwanja vya ndege kwa kanda ya Afrika (ACI Afrika) unaofanyika kwenye Hotel ya Mount Meru.