TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI WILAYA YA MEATU - SIMIYU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.