TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AKIHUTUBIA VIONGOZI NA WANANCHI NCHINI COMORO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, , Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro kwenye Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com