TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA COMORO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihudhuria Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro leo tarehe 06 Julai, 2025. Mhe. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe hizo.


























Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com