TANGAZO

TANGAZO

CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA SANAA, MICHEZO NA MAONESHO YA WASANII YAPANDA MARA 10


Chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Sekta ya sanaa na michezo imepata msukumo mkubwa uliochochea ukuaji wa fursa za kimataifa kwa wasanii wa Kitanzania. 


Katika kipindi cha miaka minne, idadi ya wasanii waliopata nafasi ya kufanya maonyesho nje ya nchi imeongezeka kutoka 122 mwaka 2021 hadi kufikia 1,492 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya asilimia 1,000. 

Wakati huo huo, idadi ya wasanii kutoka nje ya nchi waliokuja kufanya maonyesho nchini Tanzania nayo imeongezeka kutoka 75 hadi 623, sawa na ongezeko la asilimia 730. 

Mafanikio haya yameongeza vipato kwa wasanii wa ndani, kukuza sekta ya sanaa, na kuiwezesha nchi kupata fedha za kigeni kupitia matamasha na shughuli za ubunifu zinazovutia ndani na nje ya nchi.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com