Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha
Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya
Chama cha National League for
Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea huyo wa NLD
aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto)
alichukua fomu hizo leo Agosti 10,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi
Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan
Kailima. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha
Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya
Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea
huyo wa NLD aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed
(kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya
uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na
INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed wakionesha begi la fomu
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza wa NLD, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed wakionesha begi la fomu.