TANGAZO

TANGAZO

MWILI WA NDUGAI WAWASILI KONGWA, WANANCHI WAFURIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO



Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai wawasili Kongwa, Viongozi mbalimbali na Wananchi wa Wilaya ya Kongwa wajitokeza kwa wingi kuaga mwili wa Spika Mstaafu Job Ndugai katika viwanja vya stendi ya mabasi Kongwa leo tarehe 10 Agosti 2025 Wilayani Kongwa mkoani Dodoma.










Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com