TANGAZO

TANGAZO

DKT. MWIGULU AWASILI SONGEA KUSHIRIKI MISA YA KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA

 




Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15 amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramisho na Waziri Mstaafu, inayofanyika kwenye Kanisa Katoliki Peramiho.








Jenista Mhagama alifariki Disemba 11, 2025 kwa maradhi ya moyo.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com