TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI YA NTYUKYA - MVUMI- KIKOMBO DODOMA

 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mkurugunzi wa Miradi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Japheson Nnko alipokagua ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Ntyuka - Mvumi - Kikombo Mkoani Dodoma, Aprili 12, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM moka wa Dodoma, Adam kimbisa, Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega na Mkuu wa Moka wa Dodoma, Rosemary Senyamule. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com