Kutoka kulia ni Balozi Mussa Ali Haji, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa New York Marekani, Swahiba Habib Mndeme Balozi wa Tanzania Sweden, Mary Kaganda Balozi wa Tanzania Seoul Korea, Cyprian Luhemeja Balozi wa Tanzania Zambia, Zena Ahmed Said Balozi wa Tanzania Saud Arabia, Maulida Bwanakheir Hassan Balozi wa Tanzania Oman, Dkt. Salim Othman Hamad Balozi wa Tanzania Comoro na kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Mambo Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Michael Ogwari John. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



