TANGAZO

TANGAZO

VIDEO: WAZIRI KOMBO ALIVYOWASILISHA UJUMBE MAALUM ANGOLA


Hii ni Video ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Jana Machi 15, 2025.

Fungua link hii Kutazama👇

https://www.instagram.com/reel/DHQEgLHN6Cf/?igsh=MWdkb3R4cm9rdzZocQ==

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com