TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU AWASILI MAREKANI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA BORLAUG

 




Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), utakaofanyika Oktoba 20–22, 2026.