Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kuhitimisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 bungeni jijini Dodoma.