TANGAZO

TANGAZO

ASKARI WANAFUNZI WA JESHI LA MAGEREZA WAKIONESHA UMAHIRI WA MBINU ZA KUJILINDA

 




Askari wanafunzi wa Jeshi la Magereza wakionesha mbinu mbalimbali za kujilinda (Self-Defence) walizojifunza wakati wa mafunzo ya awali mbele ya mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Franklin Jasson Rwezimula, katika hafla ya kuhitimisha Kozi Na. 33 iliyofanyika Chuo cha Magereza Kiwira, jijini Mbeya, Oktoba 17, 2026.