TANGAZO

TANGAZO

MAKAMU WA RAIS AAGANA NA RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE IRINGA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi akiagana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Ndege wa Iringa, mara baada ya kuhitimisha Ziara ya kikazi mkoani humo, leo tarehe 18 Oktoba 2026.