TANGAZO

TANGAZO

PICHA : MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SENEGAL

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika na Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Senegal Mhe.Yassine Fall ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Senegal Mhe. Bassirou Diomaye Faye kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2025.













Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com