TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE MNARA WA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA MJINI MAPUTO




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025.








Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com