Hizi ni baadhi ya Picha zilizopigwa March 28, 2026 kwenye Kongamano la Malkia wa habari lililoandaliwa na waandishi wa habari wanawake, Aambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki.
Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com